LAPTOP BORA

Unapohitaji kununua computer hasa laptop, kwanza kuwa makini na nini ungependa kufanya kwa kutumia laptop hiyo. Kama wewe ni mtaalamu wa masuala ya computer kwa shughuli nzito kama kudesign picha, video, beats lazima unahitaji computer yenye RAM kubwa(angalau 3GB) , video card kubwa, yenye hard disk(angalau 350GB) kubwa pia. Kwa matumizi ya nyumbani tu sio lazima iwe na RAM kubwa (2GB inatosha) au processor(1.5GHz inatosha) bali hard disk inabidi iwe na uwezo wa kutosha (Angalau 250GB).

1. APPLE

Laptop za Apple, Macbook Air ndizo bora zaidi sokoni. Laptop hizi hutengenezwa kwa aluminium.Hutumia SSD ambazo zina kasi kama mara 4 zaidi ya Hard disk za kawaida. Zaidi Operating system yake ni safi na ya kipekee isiyoshambuliwa na virusi. Sababu kubwa ambayo huwafanya watu wasiwe na laptop hizi hasa hapa Afrika mashariki ni bei zake ghali.
2. 

2. Hewlett-Packard (HP)


 Ni ngumu, ni bora, ni bei NZURI. HP ni kampuni kongwe zaidi kupita Dell na wengine. Laptop zao ndizo zinazoaminika zaidi, ni bora zaidi na bado bei zake ni nzuri zaidi. Hii ndiyo laptop bora inayotumia platform kama Windows.

3. DELL

Zina warranty ya muda mrefu kupita computer zote sokoni. Dell huwa na speaker zinazotoa mziki mzuri. Pia uwezo wa screen zake ni mzuri sana. Ni bora kwa matumizi ya nyumbani na ofisini. Zina nguvu kubwa sana. Computer mpya za Dell Alienware ndizo laptop zenye nguvu zaidi kupita computer zote kwa sasa.

4. LENOVO

Lenovo ni laptop ambazo hukaa na chaji mda mrefu zina speed na screen au display yake ni nzuri sana kwa kutazama filamu na videos, hivyo ni mashine nzuri na gharama yake sio kubwa pia mimi mwenyewe blogger wako natumia lenovo.


5. ASUS

6. ACER


7. TOSHIBA

8. SAMSUNG

9. ALIENWARE

10. SONY

Mlunda Rwanda

We all got 24 hours a day so you better use them well.