2015Dec30
0
RC amuagiza RPC kukomesha uhalifu wa askari
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Ludovick Mwananzila amemuagiza kamanda wa polisi mkoani hapa, Hamis Issa kuhakikisha hakuna askari anayejihusisha au kushirikiana na wahalifu
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya askari kutuhumiwa kushirikiana na wahalifu au kujihusisha na vitendo vya uhalifu. Akizungumza katika
hafla ya kumuaga aliyekuwa kamanda wa mkoa, Suzan Kaganda na kumkaribisha Issa, Mwananzila alisema ni aibu kwa askari kushirikiana na wahalifu au kujihusisha na uhalifu.
chanzo mwananchi.co.tz
Search
Most Reads
-
Unapohitaji kununua computer hasa laptop, kwanza kuwa makini na nini ungependa kufanya kwa kutumia laptop hiyo. Kama wewe ni mtaalamu w...
Labels List Numbered
Blog Archive
- August 2021 (1)
- January 2016 (29)
- December 2015 (10)
Mill M. Powered by Blogger.