Diamond Platinumz anunua Lamborghini

 Msanii mkubwa kutoka Tanzania afahamikae kwa jina la Diamond Platinumz athibitisha kuagiza gari aina ya Lamborghini siku za hivi karibuni baada ya kununua gari aina ya Rolls Royce toleo la 2021.

Mfano wa gari ya aina hiyo picha hapo chini hili ni toleo la Lamborghini toleo la 2021 na linafahamika kama 


2021 Lamborghini Sian Roadster 

Mlunda Rwanda

We all got 24 hours a day so you better use them well.